Ligi Kuu ya Uingereza a.k.a Ligi Pendwa itaendelea wiki hii baada ya kusimama kwa wiki moja na kupisha mechi za kimataifa. Mtanange unaosubiriwa kwa hamu na jamu ni kati ya mabingwa watetezi Manchester City na Tottenham kwenye dimba la Etihad siku ya Jumamosi.
Man U watamenyana na West Brom Albion katika jiji la Birmingham siku ya Jumatatu usiku.
Ratiba ya mechi nyengine;
JUMAMOSI 18 OKT 2014
Man City v Tottenham 14:45
Arsenal v Hull 17:00
Burnley v West Ham 17:00
Crystal Palace v Chelsea 17:00
Everton v Aston Villa 17:00
Newcastle v Leicester 17:00
Southampton v Sunderland 17:00
JUMAPILI 19 OKT 2014
QPR v Liverpool 15:30
Stokey v Swansea 18:00
JUMATATU 20 OKT 2014
West Brom v Man Utd 22:00